Nenda kwa yaliyomo

tarakilishi

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili

[hariri]
tarakilshi.
tarakilishi ya palm

Nomino

[hariri]

tarakilishi

  1. mtambo wa kupiga chapa, kufanya hesabu na kusambaza ujumbe kwa barua pepe

Neno tarakilishi liko katika ngeli ya i-/zi-

Kisawe cha tarakilishi ni kompyuta.

Tarakilishi pia inaweza kufafanuliwa kama mashine ya elekronoki ya kuhifadhi na kuchanganua taarifa zilizoingizwa. Inaweza kukokotoa na kuongoza mitambo.

Kisawe

[hariri]
  1. kompyuta

Tafsiri

[hariri]