Nenda kwa yaliyomo

Randal Bryant

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Randal E. Bryant (alizaliwa 27 Oktoba 1952) ni mwanasayansi wa kompyuta na kitaaluma alibainisha kwa utafiti wake juu ya kuthibitisha rasmi programu kidigitali.Bryant alikua mwanachama wa kituvo katika chuo kikuu cha Carnegie Mellon University kuanzia mnamo mwaka [1984]]. Alihudumu kama mwanasayansi Mkuu wa Shule ya Sayansi ya Kompyuta (SCS) katika chuo kikuu cha Carnegie Mellon kuanzia mnamo mwaka 2004 hadi 2014. Dk. Bryant alistaafu na kuwa Profesa wa Chuo Kikuu cha Waanzilishi Emeritus mnamo mwezi Juni 30, 2020.[1]

  1. "Infosys Prize - Jury 2013". Infosys Science Foundation. Iliwekwa mnamo 1 Machi 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Randal Bryant kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.