Nenda kwa yaliyomo

Ufunguo programu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 07:22, 30 Machi 2020 na Riccardo Riccioni (majadiliano | michango)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)
Ufunguo programu wa Windows Vista Home Premium.

Katika utarakilishi, ufunguo programu (kwa Kiingereza: product key au software key) ni neno la siri linalotumika ili kuamilisha programu moja.

  • Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).